World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

France walibeba kombe 1998,walikuwa watetezi 2002 mechi ya kwanza walipigwa na Senegal.hawakuvuka round ya kwanza

Sio kwamba walipigwa tu, walitolewa bila kufunga hata goli moja, kama ilivyokua mwaka 2010
 


Facts: Diego Costa alibadilisa uraia na kuwa muhispania....Leo anajutia maamuzi yake
 

Sorry mkuu ni fainali ya 2002 na sio 2012 ufaransa alitolewa katika hatua ya makundi akiwa bingwa,,,,
 
yes...walikuwa watetezi mwaka 2002 after winning 1998....

Tena hata France walikuwa mabingwa wa Ulaya pia (2000) kama Spain (2012)...unajua when you reach the PEAK and stay there for sometimes kifuatacho uta attain kitu tunaita Saturation Point and from it you automatically start dropping... that's nature.

Ambacho wangefanya ili kiwasaidie ni either kubadili kocha au kubadili baadhi ya wachezaji...sasa wao they have kept everything CONSTANT and yet expect different results.

Imekula kwao sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…