Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
naubaguzi wao waache wapite kushoto ukiongeza Laana ya kumchukua COSTA ndo kabisaaaa...
Adios Adios Adios
naubaguzi wao waache wapite kushoto ukiongeza Laana ya kumchukua COSTA ndo kabisaaaa...
Adios Adios Adios
Uzuri ni kwamba safari hii timu ya Africa haitakuwa ya kwanza kufungishwa virago ...
Acha niangalie zangu tom and jerry tu .....kazi kuvaa kata k. tuu
Acha niangalie zangu tom and jerry tu .....kazi kuvaa kata k. tuu
matumaini sifuri hapa
Unanishawishi na mimi mkuu maana Croatia tushashinda
Nahamishia mashambulizi kny plan B..................,nisikose vyote.lolz
Hii red kad kafanya nini.Song?