World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Song anashangaza sana, upuuzi kama huo anaufanya akivaa uzi wa Cameroon/akiwa Barcelona hathubutu kufanya.
 
Kampiga kipepsi/kiwiko mchezaji wa Croatia kwa makusudi

hili jamaaa ovyo sana aiseee kafanya upuuzi ambao unaigharim sana timu.

hivi hii ngozi nyeusi tutakuja elimika.kweli
 
Alex Song dah nini tena? kama anachezea Abajalo vile

Song alidhani yeye ni Rooney anayeweza ku-get away na fujo uwanjani nini? Afadhali Rooney huwa anakula miwa huku anakimbia mtu unashindwa kujua kama ilikuwa makusudi au la, Song sijui alikuwa anafikiria nini? Mambo kama haya ndo yanayowafanya watuite Waafrika majina ya ajabu ajabu duniani.
 
Kipa lao vipi hili? badala ya kuuacha mpira utoke nje linajaribu kudaka.

huuu upuuzi wa huyu kipa ndio ulifanya gana alifungwa na usa .
kama ukiangalia ile kona ya gori yule mburura alikuwa anauwezo wa kuucheza ule mpira mapema lkn kwa upuuzi wake akasubili mpaka mchezaji wa usa anafika.na kuanza kumzuia mwisho wa siku yy ndio akautoa huo mpira ikawa kona na mwisho wa siku akafungwa
 
Alichokifanya song bdo sielewi alikua anawaza nni..aisee.!!
 
hili jamaaa ovyo sana aiseee kafanya upuuzi ambao unaigharim sana timu.

hivi hii ngozi nyeusi tutakuja elimika.kweli

Ndio maana Barca wanamsugulisha benchi

Wachezaji kama hao wasiokuwa na nidhamu , unatakiwa unafukuza tuu
 
Ndio maana Barca wanamsugulisha benchi

Wachezaji kama hao wasiokuwa na nidhamu , unatakiwa unafukuza tuu

Barca watamtupa nje tu.. Kama Cesc na uzuri wake aliambiwa hana chake unadhani huyu mvuta bangi wa Tandale ya Younde ataambiwa nini?
 
Ndio maana Barca wanamsugulisha benchi

Wachezaji kama hao wasiokuwa na nidhamu , unatakiwa unafukuza tuu

Song ni wa kupigwa mawe hadi kufa, ngoja tufungwe leo lawama zote atabeba yeye huyu punguani.
 
Mpaka sasa sielewi alikuwa anafikiria nini pale.... jamaa halafu huwezi kuamini anachezea moja kati ya timu kubwa duniani
 
Barca watamtupa nje tu.. Kama Cesc na uzuri wake aliambiwa hana chake unadhani huyu mvuta bangi wa Tandale ya Younde ataambiwa nini?

Kwa nidhamu ya Afrika Song hajakosea sana!Hao wanaweza mpiga hata refa Kombe la Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…