Barca watamtupa nje tu.. Kama Cesc na uzuri wake aliambiwa hana chake unadhani huyu mvuta bangi wa Tandale ya Younde ataambiwa nini?

Kwa nidhamu ya Afrika Song hajakosea sana!Hao wanaweza mpiga hata refa Kombe la Dunia
Mechi yao na Mexico walinyimwa bao 2 halali kabisa wangekuwa ndiyo wao hawa wangempiga refa!
Song ni wa kupigwa mawe hadi kufa, ngoja tufungwe leo lawama zote atabeba yeye huyu punguani.
Kwa nidhamu ya Afrika Song hajakosea sana!Hao wanaweza mpiga hata refa Kombe la Dunia
Mpaka sasa sielewi alikuwa anafikiria nini pale.... jamaa halafu huwezi kuamini anachezea moja kati ya timu kubwa duniani

Mtanipa matokeo kesho...nalala mapemaaaaaaaa saa moja usiku