Usimlaumu refa.All in all refa kawabeba sana greece hawakustahili
Kuna foul za kijinga kabisa alikuwa anapuliza kipenga kuna timu zinabebwa ila hawatafika popote
Bubu mchawi wewe khaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
ni mara 20 afadhari ya Zambia na bukinafaso au ile nchi ambayo ni kisiwa kule west africa(jina nimesahau) wangechukua nafasi za ivory coast na cameroon
Tofauti ya Ivory coast na Cameroon ni ndogo saana.