World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

All in all refa kawabeba sana greece hawakustahili
Kuna foul za kijinga kabisa alikuwa anapuliza kipenga kuna timu zinabebwa ila hawatafika popote
Usimlaumu refa.
Ile ni penalt halali kabisa.
Mchezaji mwenye akili hawezi akacheza faulo ya kipuuzi namna ile tena ndani ya 18 tena katioka dakika za nyongeza.
Miafrika sijui tupoje?
 
Kweli mkuu wamecheza mpira mbovu sio hadhi yao ubinafsi na uzito dah inakera sana kwa kikosi kama chao
 
Bye Bye Drogba.

Bq7RlOVCUAEzu35.png:large
 
Hapana NN mie si mchawi, ila dakika za mwisho kila walichofanya Wacheza wa Ivory Coast kilikuwa ni makosa kwa refa. Hivyo nikahisi tu kwamba hataki kuona timu ya Afrika inasonga mbele, inauma sana dah!!!!

Bubu mchawi wewe khaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Refa ana laana si bure kudadeki, mjinga kabisa huyu kubebana kijinga jinga.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hawa walima coca Colombia si wa kuchezea...

Timu za Afrika ni majanga...watu wakishapata visenti na kupigana vikumbo uwanjani na kina Cristiano na Messi basi wanajiona wamefiiiika!! Hawana morali na kujali uvaaji wa jezi za timu zao za taifa...dadeki Afrika...

Bado nipo #teamBrasil #teamGhana na #teamPortugal na ninadhani nitakuwa pia #teamColombia sasa...
 
ni mara 20 afadhari ya Zambia na bukinafaso au ile nchi ambayo ni kisiwa kule west africa(jina nimesahau) wangechukua nafasi za ivory coast na cameroon
 
Jamani mimi nina hasira sana hapa naweza pata hata ban ya maisha sababu kuna members mapunguani wanapost ujinga hapa kwa kuilahum ivory coast huku wakifumbia macho udhaifu wa refa kichaa yule.
 
Sisi Afrika tuna laana ya Mungu!Kama Ivory Coast unashindwa kupenya kundi hili unataka upangwe na nani sasa?
 
Mtoano mpaka sasa ni.
Brazi vs Chile
Netherlands vs Mexico
Costa Rica vs Greece
Colombia vs Uruguay
 
Hivi huyu Yaya Toure kile ndio kiwango chake kipya au kwa vile ile sio Mancity? Yaani ni bora ghana wanaonesha kupambana kila mechi kuliko hawa wajinga, kwasasa tuwatumaini Nigeria na Algeria huku tukiomba maajabu kwa ghana.
 
Back
Top Bottom