Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,656
Usimlaumu refa.All in all refa kawabeba sana greece hawakustahili
Kuna foul za kijinga kabisa alikuwa anapuliza kipenga kuna timu zinabebwa ila hawatafika popote
Ile ni penalt halali kabisa.
Mchezaji mwenye akili hawezi akacheza faulo ya kipuuzi namna ile tena ndani ya 18 tena katioka dakika za nyongeza.
Miafrika sijui tupoje?