Pamoja na racisim..lkn ivorycost hawachezi kitimu..gervinho na kalou wachoyo mno..na lile kisa la kumwacha bony nje
ngapi ngapi mkuu
Yaani mkuu BAK nimetoka kukubalia sasa naamini yale maneno kuwa kuna timu zinapendelewa
Dakika za mwisho more than 90% ya referee's decisions zilikuwa against Ivory Coast, wengi wetu hatukuona kama Ivory Coast walistahili kuadhibiwa kwa kuwa hakukuwa na rafu zozote. Referee alihakikisha mpira unachezwa golini mwa Ivory Coast katika zile dakika za mwisho ili kumpa yeye nafasi ya kufanya uonevu wake.
Alisema wachezaji wanakunywa sana viroba
"Mgoshi"....vp kwani msambaa anakosea mara mbili?....
hahahaha..........
wananyimana mno pasi za kufunga.
Lini Africa tutameza ukweli mchungu kwamba sisi bado kabisa.....?Matendo km ya wachezaji wetu wakubwa km song kupiga mtu kiwiko .....Assou Kuoto kupigana....yanasaidiaje kusonga mbele....Tukubali sisi bado kabisa!
hawa nao ndege yao imepigwa na radi wakati wanaondoka brazil, gundu linawafuata mpaka safarini.
http://rt.com/news/168212-spain-football-team-lightning/
hahahaha..........
wananyimana mno pasi za kufunga.
Alisema wachezaji wanakunywa sana viroba
Lini Africa tutameza ukweli mchungu kwamba sisi bado kabisa.....?Matendo km ya wachezaji wetu wakubwa km song kupiga mtu kiwiko .....Assou Kuoto kupigana....yanasaidiaje kusonga mbele....Tukubali sisi bado kabisa!
Mkome kushangilia timu za Africa,sijawah kushangilia kwenye wc yeyote.
duh kifaa cha ukwee...kweli pesa mwisho wa matatizo!