Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Pamoja na racisim..lkn ivorycost hawachezi kitimu..gervinho na kalou wachoyo mno..na lile kisa la kumwacha bony nje
Bony mzigo tu ..kalou mchawi mchawi sana ndo maana mchoyo sana..hyo gervinho rasta zinamkondesha na kusikia joto sana mwilini ndo maana akipata mpira yy ni kukimbia tu ili apate upepo