Serious, Kamanda anatakiwa aje hapa kututaka radhi... as so far wachezaji wa The Gunner wamefanya vizuri katika ngazi hii ya magroup..
mkuu ile ni penati halali. Kocha wako ametoa wachezaji wanao-hold mpira mbele akaingiza wanaocheza mpira nyuma.
https://www.youtube.com/watch?v=A-w03JQb0nc
Re: Zingatia kwenye wino wa mwalimu
Pangekuwa na UNLIKE button ningekupa Unlike elfu mbili kaka Malafyale. Kama unawaweka Henderson na Coutinho mbele ya Ozil, Ramsey bora uendelee kushangilia Taifa stars na Mbeya City in my opinion.
nilikuwa nawashabikia wakati bado sijatoka nje ya bongo. hawa watu wanadhani wao ndio waafrika pekee wenye akili, wanadharau nyingi lakini washamba tu. dada zetu (majority) nao wanatuangusha yani kwa wanigeria ni kama kuku mtetea anayechuchumaa hata bila kukimbia kidogo.
Tatizo nipo France team,sasa nikiona mpira unaelekea kwenye goal la the bleus nasikia moyo unakwenda kasi,ikabidi niadili chanel
Subiri nakutengenezea desa
DEMBA naomba uje kumsaidia mwenzako
Kwangu Messi ni wa Kawaida sana nikimlinganisha na Ronaldo de Lima ambaye amechukua vikombe vyote ulimwengu, dynamic-anaumia mwaka nje akiingia moto zaid ya jana amehama toka club mbalimbali na zote kabeba vikombe huku akiendelea kuwa mtu muhimu kwa timu husika. So ili Messi afike hicho kiwango basi afanye kama Ronaldo de Lima.
My Perception.
Ronaldo de Lima hajawahi kubeba UEFA Champions League mkuu.
meandu umehamia team gani sasa baada team azzuri kuenguliwa.
MESSI ni mchezaji bora:
angalia mambo yafuatayo: jamaa anaweza kubadili matokeo ya mchezo. Tangu miaka 50 iliyopita hakujawahi kutokea mchezaji wa ARGENTINA kufunga katika mechi 3 zote za makundi.
MESSI anapocheza ni kama mazoezi, hatumii nguvu nyingi,,hana presha na mchezo, he's an artist.
MESSI kama ZIDANE, timu nzima inategemea ubunifu wake, hana kelele sana; anaacha miguu izungumze.
Amekosa kuwa mchezaji bora mwaka huu; lakini yeye halalamiki kama ilivyokuwa RONALDO. Anaacha kazi yake izungumze.
Watu wanamchukia; hana neno yeye anafanya kazi tu. Hadi sasa. MESSI 4 - 0 C.RONALDO.
MESSI atabaki miongoni mwa wachezaji bora kabisa kuwahi kucheza mpira. yeye ni daraja la akina;
Mario Kempes, Zidane, Di Stefano, Pele, Platin, Ruud Gullit, Ronald de lima, Diego Maradona.;
MESSI hatari sana ; hasa anapocheza vs timu unayopenda.