World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Serious, Kamanda anatakiwa aje hapa kututaka radhi... as so far wachezaji wa The Gunner wamefanya vizuri katika ngazi hii ya magroup..

haya nafuta kauli ila natoa angalizo NISISIKIE MKIPONDA GIROUD kama mlivyofanya msimu mzima uliopita.....Giroud is the best!
 
Re: Zingatia kwenye wino wa mwalimu
Pangekuwa na UNLIKE button ningekupa Unlike elfu mbili kaka Malafyale. Kama unawaweka Henderson na Coutinho mbele ya Ozil, Ramsey bora uendelee kushangilia Taifa stars na Mbeya City in my opinion.

kimaneno au perfomance?? henderson,coutinho wameifikisha liverpool second place,hao Ozil na ramsey wameshika 4th place kwa kudra za Mungu kumbuka mmesumbuliwa na everton hadi mechi za mwisho mwisho!
 
nilikuwa nawashabikia wakati bado sijatoka nje ya bongo. hawa watu wanadhani wao ndio waafrika pekee wenye akili, wanadharau nyingi lakini washamba tu. dada zetu (majority) nao wanatuangusha yani kwa wanigeria ni kama kuku mtetea anayechuchumaa hata bila kukimbia kidogo.

Mkuu nasikitika sana kwa hizi facts, Tatizo kuu la sisi "waTanzania" ni kukosa exposure. Hatutembei hapa duniani
 
Tatizo nipo France team,sasa nikiona mpira unaelekea kwenye goal la the bleus nasikia moyo unakwenda kasi,ikabidi niadili chanel

Hujawa shabiki wa kweli, je yule anaefungwa goli 8 na still anaangalia??
 
 momJiYmJiYmJqS3TPMXZpv8HafDf9u dbYYAAAAASUVORK5CYII=

B5gFz8uLHK0BAAAAAElFTkSuQmCC

wFLFP8W3JlvmgAAAABJRU5ErkJggg==
 
Hebu angalia USA miaka 5-7 nyuma hawakuwa na soka lolote lkn sasa USA inafanya kitu kinaonekana....na sio Hili la Brazil lkn natumai WC zijazo hawa watakuwa among contenders wa kuchukua kabisa....Africa tupo wapi?tumetoka kuishia Robo fainali (Enzi ya super eagle wa kweli,na samba wa kweli) sasa hata group stages ni aibu...Well said Mourinho "short cuts its always a wrong cut"!
 
Kwangu Messi ni wa Kawaida sana nikimlinganisha na Ronaldo de Lima ambaye amechukua vikombe vyote ulimwengu, dynamic-anaumia mwaka nje akiingia moto zaid ya jana amehama toka club mbalimbali na zote kabeba vikombe huku akiendelea kuwa mtu muhimu kwa timu husika. So ili Messi afike hicho kiwango basi afanye kama Ronaldo de Lima.
My Perception.
 
haaa! halafu miss chagga huwa ni wifi yangu coz ni dadake na chepuko langu, haya nipe muongozo nimsaidie nini, kabla hujajibu naomba nimuhakikishie miss chaga kwamba nitatoa msaada kwa moyo wangu wote
Subiri nakutengenezea desa
DEMBA naomba uje kumsaidia mwenzako
 
Last edited by a moderator:

MESSI ni mchezaji bora:

angalia mambo yafuatayo: jamaa anaweza kubadili matokeo ya mchezo. Tangu miaka 50 iliyopita hakujawahi kutokea mchezaji wa ARGENTINA kufunga katika mechi 3 zote za makundi.

MESSI anapocheza ni kama mazoezi, hatumii nguvu nyingi,,hana presha na mchezo, he's an artist.

MESSI kama ZIDANE, timu nzima inategemea ubunifu wake, hana kelele sana; anaacha miguu izungumze.

Amekosa kuwa mchezaji bora mwaka huu; lakini yeye halalamiki kama ilivyokuwa RONALDO. Anaacha kazi yake izungumze.

Watu wanamchukia; hana neno yeye anafanya kazi tu. Hadi sasa. MESSI 4 - 0 C.RONALDO.

MESSI atabaki miongoni mwa wachezaji bora kabisa kuwahi kucheza mpira. yeye ni daraja la akina;
Mario Kempes, Zidane, Di Stefano, Pele, Platin, Ruud Gullit, Ronald de lima, Diego Maradona.;

MESSI hatari sana ; hasa anapocheza vs timu unayopenda.
 
Kwangu Messi ni wa Kawaida sana nikimlinganisha na Ronaldo de Lima ambaye amechukua vikombe vyote ulimwengu, dynamic-anaumia mwaka nje akiingia moto zaid ya jana amehama toka club mbalimbali na zote kabeba vikombe huku akiendelea kuwa mtu muhimu kwa timu husika. So ili Messi afike hicho kiwango basi afanye kama Ronaldo de Lima.
My Perception.

Ronaldo de Lima hajawahi kubeba UEFA Champions League mkuu.
 
Ronaldo de Lima hajawahi kubeba UEFA Champions League mkuu.

Haya pekee yanafunika Uefa Champions League:-
Uefa Cup Winners’ Cup: FC Barcelona 1997
UEFA Cup: Internazionale 1998
Intercontinental Cup: Real Madrid 2002.
UEFA Super Cup: Real Madrid 2002.
 
MESSI ni mchezaji bora:

angalia mambo yafuatayo: jamaa anaweza kubadili matokeo ya mchezo. Tangu miaka 50 iliyopita hakujawahi kutokea mchezaji wa ARGENTINA kufunga katika mechi 3 zote za makundi.

MESSI anapocheza ni kama mazoezi, hatumii nguvu nyingi,,hana presha na mchezo, he's an artist.

MESSI kama ZIDANE, timu nzima inategemea ubunifu wake, hana kelele sana; anaacha miguu izungumze.

Amekosa kuwa mchezaji bora mwaka huu; lakini yeye halalamiki kama ilivyokuwa RONALDO. Anaacha kazi yake izungumze.

Watu wanamchukia; hana neno yeye anafanya kazi tu. Hadi sasa. MESSI 4 - 0 C.RONALDO.

MESSI atabaki miongoni mwa wachezaji bora kabisa kuwahi kucheza mpira. yeye ni daraja la akina;
Mario Kempes, Zidane, Di Stefano, Pele, Platin, Ruud Gullit, Ronald de lima, Diego Maradona.;

MESSI hatari sana ; hasa anapocheza vs timu unayopenda.

Welldone Mkuu
 
Back
Top Bottom