MESSI ni mchezaji bora:
angalia mambo yafuatayo: jamaa anaweza kubadili matokeo ya mchezo. Tangu miaka 50 iliyopita hakujawahi kutokea mchezaji wa ARGENTINA kufunga katika mechi 3 zote za makundi.
MESSI anapocheza ni kama mazoezi, hatumii nguvu nyingi,,hana presha na mchezo, he's an artist.
MESSI kama ZIDANE, timu nzima inategemea ubunifu wake, hana kelele sana; anaacha miguu izungumze.
Amekosa kuwa mchezaji bora mwaka huu; lakini yeye halalamiki kama ilivyokuwa RONALDO. Anaacha kazi yake izungumze.
Watu wanamchukia; hana neno yeye anafanya kazi tu. Hadi sasa. MESSI 4 - 0 C.RONALDO.
MESSI atabaki miongoni mwa wachezaji bora kabisa kuwahi kucheza mpira. yeye ni daraja la akina;
Mario Kempes, Zidane, Di Stefano, Pele, Platin, Ruud Gullit, Ronald de lima, Diego Maradona.;
MESSI hatari sana ; hasa anapocheza vs timu unayopenda.