World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Daaaah mbona BAN inaninukia hapa jamani CR7 nifanyie mambo nisijekosa uhondo hapa sijawahi fungiwa
 
Burudani inarejea na presha inashuka kwa mbaaali hahahaaa
 
watu wenye uchungu na timu kama gyan wanahtajka sana timu ya taifa, na si wauza sura kama kina kevin prince boateng.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…