Acha kuturusha roho mshkaji
Nipo mtaani mbali na sehemu ya kuona soka nipeni matokeo tafadhali.
0-0 Ujerumani na USA zote zinasonga mbele hata kama Ghana/Portugal watashinda kwa idadi kubwa ya magoli.
Umri nao ni tatizo
Essien ana miaka 42
Kutokupewa posho zao wakati kila timu ilishapewa pesa ya ushiriki.hujuma kiaje mkuu
USA piga hao Germany....
matokeo vipi,leo mimi siangalii,na nilivyopita tu hapa nikakuta ujumbe wa kuhusu thread ya thebold ikabidi niende kule,naombeni matokeo wapendwa
USA piga hao Germany....