World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

matokeo vipi,leo mimi siangalii,na nilivyopita tu hapa nikakuta ujumbe wa kuhusu thread ya Thebold ikabidi niende kule,naombeni matokeo wapendwa
 
Huyo refa anapendelea, haoni Ghana wanavyofanyiwa yeye kaona wareno tu. mxiiiuuuuu
 
Ureno wameshatepeta iliyobaki Ghana kupigilia Msumari wa mwisho tuu.:flame::flame:
 
Back
Top Bottom