Tatizo lao ni la kurithi!fuatilia historia yao hawa jamaa kwa kiatu hawajambo.ila wanapiga deadly counter attacks,Colombia wawe makini.ila Uruguay wanammis "bugs bunny" kwa kweli!
France akiingia Fainal lazima niende Cameroon nikapande airfrance mpaka Charles de gaule Paris,nikawasubirie wanavyorudi na kombeusipate tabu mtoano utakuwa kama ifuatavyo
kwa kona post ila kipa imemzidi kidogo tu..
waingereza kama kawaida yao "England need someone like James Rodriguez"
Kama hawa madogo wakipita Brazil atakaa! Hana ubavu wa kuwafunga hawa...
England utumbo tu kama Taifa Stars!
nadhani hili ni goli bora kabisa la mashindano nimeliona.
Kabla ya hapo alisema "he had the ability and the audacity to do it". Just brilliant!
Jamani ma commentator wetu hawajifunzi kwa hawa wenzetu? Ongea maneno matamu ya kumvutia mtazamaji.
La RVP sikuliona ila hili ni noma sana
kwani spain walikuwa wazuri kumzidi chile au unaangalia jina? hao spain 2010 si walifungwa 1 bila na hao hao chile spain ni wabovu kama hii brazil ya sasa na wakikutana na holland kitawatokea kama yale ya spain
Subilini muone Mexco wakiondosha Waholanzi,
waoooo mbili hizo