World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tatizo lao ni la kurithi!fuatilia historia yao hawa jamaa kwa kiatu hawajambo.ila wanapiga deadly counter attacks,Colombia wawe makini.ila Uruguay wanammis "bugs bunny" kwa kweli!

Angekuwepo habari ingekuwa nyingine...!
Yule alikuwa ni contender wa golden boot.
 
usipate tabu mtoano utakuwa kama ifuatavyo

attachment.php
France akiingia Fainal lazima niende Cameroon nikapande airfrance mpaka Charles de gaule Paris,nikawasubirie wanavyorudi na kombe
 
Usiku mwema jamani nawatakia Colombia ushindi wa magoli zaidi ya matatu
 
Kabla ya hapo alisema "he had the ability and the audacity to do it". Just brilliant!

Jamani ma commentator wetu hawajifunzi kwa hawa wenzetu? Ongea maneno matamu ya kumvutia mtazamaji.

Mechi ya Mexico na Cameroon baada ya kubanwa sana Cameroon baadaye wakanza kubadilika kwa kushambulia Commentator akasema "Now Cameroon is moving up to the sixth gear" nilipenda sana hiyo. Ukiwasikiliza kuna raha sana.
 
kwani spain walikuwa wazuri kumzidi chile au unaangalia jina? hao spain 2010 si walifungwa 1 bila na hao hao chile spain ni wabovu kama hii brazil ya sasa na wakikutana na holland kitawatokea kama yale ya spain


Duh! Eti Chile waliwafunga Spain 2010!! Go check you facts chav...Spain won 2-1 (Villa and Iniesta the scorers).

Anyway, siyo mtu wa mpira wewe, hivyo kwaheri.
 
WC top goal scorer!Ingekuwa Ghana yule jamaa aliyeipiga kwa ndani angetaka afunge yeye
 
jame rod noma ashapiga la 5 tayari. hili ni goli lakitimu zaidi

colombia 2 uruguay 0 dk 50
 
Back
Top Bottom