wanatunza energy dakika 10 za mwisho watawakimbiza ubelijiji
Ndio mwenyewe kapewa Pasi na lukaku.ebana aliyefunga goli si ndo yule dogo aliyetemwa na Chelsea au nimechanganya? DonDonald, Pazi
USA plz basi hata Penalt ili tuone Penalt, mtangazaji wa USA hachelewi kusema goli touch down.
Nadhani umeona uchovu huo,akili inagoma maamuzi ya haraka,huyu mbelgiji badala ya kuingia kwa golie,anahangaika mwenyewe hadi beki ambane,golden opportunity to finish the game
ebana aliyefunga goli si ndo yule dogo aliyetemwa na Chelsea au nimechanganya? DonDonald, Pazi
Naona unaota ndoto za alinacha mkuu.
. Teh tehtehteh wacheni utani wenu Mbavu sina.