World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nadhani umeona uchovu huo,akili inagoma maamuzi ya haraka,huyu mbelgiji badala ya kuingia kwa golie,anahangaika mwenyewe hadi beki ambane,golden opportunity to finish the game
 
lol!!! Wacheza wako hoi bin taabani...chezeya joto la Brazil weye!!!!

USA plz basi hata Penalt ili tuone Penalt, mtangazaji wa USA hachelewi kusema goli touch down.
 
Nadhani umeona uchovu huo,akili inagoma maamuzi ya haraka,huyu mbelgiji badala ya kuingia kwa golie,anahangaika mwenyewe hadi beki ambane,golden opportunity to finish the game

Yeah, fatigue has taken its toll for sure.
 
Huu muda mtu unapata ujasiri wa kukimbia na kuingia kwenye box tu goli litakuja lenyewe,watu wako hoi bhana!
 
Kesho tena USA USA USA USA kesho tena jamaa Lukaku ame slam dunk.
 
Its over... Lukaku atachonga sana kwa kuachwa benchi.... Tutawasubiri JFK airport kama sio Miami-dade Airport kesho....
 
Back
Top Bottom