World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Angalau kipindi cha pili France wanaonekana wemekuja kushindana.
 
Matuidi ana engine powerful ka ya kaka yake Patrick Vieira
 
Haya bana ila ujue brazil ndo hivyo kashapigwa 3 kwa 2 na Colombia na kutolewa nje ya mashindano, umenipata? Hiyo gemu ya baadaye ni katika kukamilisha tu ratiba.

Colombia hana historia hiyo. Utashangaa leo utakapoona Colombia wanalainishwa kama mlenda.
 
Mzinga wangu wakwanza umekata wapi house boy aende faster kwa masawe niendelee kuranduka maana hizi mechi bila kuwa pungufu kichwani unaweza kudata,team German ngapi ngapi wakubwa?

Germany 1,
France 0
 
Mkuu sijawahi ona timu uliyoshabikia ikishinda...Labda ni mm ndo sijaona...

Ila kwa kifupi #Team France jiandaeni kisaikolojia..
Katavi ana gundu ukiona amaechagua timu, kama ulikuwa na nia ya kuishabikia hiyo timu afadhali uende kulala tuu.
 
Last edited by a moderator:
The French are battling for their existence. Still 1-0
 
Ozil ni bonge la mzigo, anakimbia kimbia tuu uwanjani kama Sanifu Lazaro "Tingisha"

Cc rubaman
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…