Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hizi nusu fainali balaa,goli linaingia dakika za mwanzo mwanzo tu
chanel ipi tena yaonesha mkuuuHama channel kwa muda ufaidi kwanza burudani
Bora leo sina timu.
bora leo sina timu.
Biashara asubuhi mamaa.....
Hapa inaonekana bado goli la De Maria na Messi
Leo brother na promise Argentina lazima ashinde
Argentina asiposhinda leo nameza Mundu(sickle)
Tangu robo fainali ianze timu iliyoanza kufunga ndo inaibuka kidedea
Ila kwakua siipendi Argentina lazima afungwe tu kwa namna yoyote ile
C
chanel ipi tena yaonesha mkuuu
Sent from my iPhone using JamiiForums.í-½í´©í-½í´¨