World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


Andate...soka ndo ipo hivyo,huwezi kumfananisha pele na Diego hawakucheza mwaka mmoja...kwa Brazil Pele ni mfalme,kwa Argetina Diego ni king,hawa CR7,Messi,rooney wanacheza pamoja tunaweza kuwapima.....Huyo pele wako au Diego wangefika hadi kipindi hiki pengine wangekuwa km Adelfonce Amilima tu achana na Lunya yule alikuwa na kiwango!
 
Costa Rica wako kumi na wawili uwanjani pamoja na mlongoti wa goli; duh mara nne mpira unagonga mwamba!
 
Hii change imekaaje? Hawamuamini kipa number 1?
 
Ngoja tuone anaingia kipa special wa penati, asije akafungwa kabla ya penati
 
Ebana ehe "kamati ya ufundi" ya Costa Rica ni kiboko, yaani mpira unakataa kabisa kuingia wavuni

Sitashangaa Costa Rica wakishinda kwa Penalty
 
Costa japo wamechoka ila ngome yao ipo vizur sana,hata wakitoka wamepigana kiume haswaaaaaaaa!!
 
Hii post kila nikiweka inaondolewa !
... nadhani kuna haja ya kuweka utaratibu wa kupost kuhusu mechi zinazocheza wakati husika badala ya kuunganisha WC in general.
Ni ujinga !
Hakuna haja wala umuhimu wa kufungua mabandiko mapya kwa kila mechi...
 
Soka ni mchezo katili sana, utashangaa Costarica wamekosa mara 25 zidi ya 8 lkn utashangaa wanashinda kwa matuta na wanaojua wanatolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…