Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa na furaha leo siku nzima, mambo yalikuwa bumbum kheee, sikujua kama Brazil wataniharibia siku kirahisi hivi.
Tena ndani ya dakika chache, aaah hii ni historia mbaya wamejiwekea, tena home kwao.
Ndio itakuwa habari ya dunia hii.
hili ni kombe la kulipa visasi km kuna mtu alikufunga miaka ile na ww mtandike mpaka asitamani kukutana nawewe tena
Yaani kiukweli tusiwapende Wajerumani, sio watu wazuri kabisa hawana huruma hata kidogo haiwezekani wafanye hivi kwa magoli 2 waliyofungwa 2002
There is no jet for Scolari to leave. He is at home. Atajificha wapi?
possession 56% kwa 44%
complete passes 234 kwa 173
shots 10 kwa 2
shots on target 7 kwa 0
ALL IN FAVOR OF GERMANS.....BADO TU UNAONA HAWAJAZIDIWA??? kama ingekuwa boxing hii ingekuwa TKO
Halafu hata Ujerumani yenyewe si kali kivile....walipekekeshwa na Ghana....Algeria .....hata Ufaransa waliwafunga goli moja tu.
Nini hii leo? Khaaaaaa!!!
Heri hata Chile au Colombia wangeingia nusu fainali......
This is surreal......
Hahahahahahaha! Bye bye brazuka.
mkuu kuna wakati mtu huwa anaomba baadhi ya matukio yawe ni ndoto tu au hadithi tu, unaomba uzinduke uone kilichotokea sio kweli ilikuwa ni haditi tu au ndoto. mfano ni match ya leo, yaani unaomba mpira uwe ni kama vile bado haujaanza na matokeo ni bila/bila.
cc Pasco
Naah hawajazidiwa kivile bana....hilo nakataa kabisa.
Brasil wamechemka mno kwenye defense na kuwapat fursa hao Wajerumani na kufunga magoli tu.
let's go... let's go crazy