Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Atakosea jumapili. Sioni ni vipi Argentina atashinda.
Mkuu
Argentina anashinda kombe la dunia!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakosea jumapili. Sioni ni vipi Argentina atashinda.
Mkuu usimsahau macherano, ile block aliyompiga Roben dakika ya 90+, kipa alikua keshapotea.
Mkuu
Argentina anashinda kombe la dunia!!!
labda waazime wachawi wa mexico wanaosafiri angani na fagio wachanganye na wachawi wao.
https://www.youtube.com/watch?v=rwkcSKTE6XA
https://www.youtube.com/watch?v=OpqNYE7VMqM
Sawa mkuu, hivo tulivopewa na Deutscheland wiki hukulala kwa furaha ati!
Kitu gani kinakuashiria kama Germany anamfunga Argentina?Kuifunga Brazil ya Benard na Fred au?Mbona walisumbuka sana kwa Ghana,Algeria,USA na France?
Messi anaimaliza mechi hii dakika ya 45
Kuna mwana JF yupo mitaa ya Kimara Temboni!Njooni hapa mkabala na stand mpya Bar inaitwa Mashineni tujadili soka!Njooni tujadili soka jamani
kuna mbuzi katoliki hapo?
Mechi ya brazil. Leo mi saa ngapi.?
#TeamBrazil oyeeeeeeee. Jamani msiwe kimya sana leo tunaua mtu mapemaaaa
Poa mkuu ila ipo siku yatakukuta na wewe.Kabisa mkuu
Ni vigumu sana kwa shabiki wa Brazil kuishangilia Argentina kama ilivyo vigumu kwa shabiki wa Yanga kuishabikia Simba; hata hivyo zipo nyakati ambapo mashabiki wa Yanga waliishangilia Simba na zipo nyakati mashabiki wa Simba waliishangilia Yanga. Vivyo hivyo kwa kile Wajerumani walichowafanyia Wabrazil hakuna shaka hao Wabrazil wataishagilia Argentina, Mbrazil wa kwanza kuishagilia Argentina ni Neymar Jr, kong'oli hapa ujionee mwenyewe anachotaka kitokee:
http://www.fifa.com/worldcup/2403349.html