Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Nakualika kwangu kutakuwa na tafrija kubwa zaidi ya ile na big screen
nipe address faster...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakualika kwangu kutakuwa na tafrija kubwa zaidi ya ile na big screen
Kuna jamaa huku kitaa jana kaharibu TV makusudi ili aende kuangalia mpira bar,leo mkewe kaibeba tv kuipeleka kwa fundi.
nawapenda sana wanawake wanaopenda soka kama wewe.natamani sana mwanamke wangu angekua kama wewe.brazil kumeshakucha..
Ungeenda nae bar kuangalia mechi ya saa saba usiku? LOL!nawapenda sana wanawake wanaopenda soka kama wewe.natamani sana mwanamke wangu angekua kama wewe.
Kwahiyo usaidiwe nini?nawapenda sana wanawake wanaopenda soka kama wewe.natamani sana mwanamke wangu angekua kama wewe.
nawapenda sana wanawake wanaopenda soka kama wewe.natamani sana mwanamke wangu angekua kama wewe.
Zilipendwa Gaucho alipokuwa na umri wa Dogo Neymar alifanya nini cha maana?
Ungeenda nae bar kuangalia mechi ya saa saba usiku? LOL!
nawapenda sana wanawake wanaopenda soka kama wewe.natamani sana mwanamke wangu angekua kama wewe.
Kwahiyo usaidiwe nini?
saint Gaucho kabeba hilo kombe pindi wachezaji wenye utimamu kichwani walikuwa uwanjani...pia marefa walikuwa kama Gigi Corina, Andrea Frinks, Mr Marcus na Mr Nilsen.
Sio hawa marefa wako wanatoa penati kisha wanakimbilia nyuma ya goli huku akijihami kwa kushika mfuko wenye kadi nyekundu...
Kwa mnaotaka kumfananisha Naima na Mtakatifu Dinho Magic mkae mkijuwa mnapiga mbizi kwenye kokoto
Hivi aliamni angeweza kuifunga brasil?