Kwa chile hata brazili anakaaa,ila wadutch wako vizuri
Naombea Brazil watolewe hatua ya robo fainali kuelekea nusu fainali japo naona kuna dalili ya mbeleko la chuma limeshaandaliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa chile hata brazili anakaaa,ila wadutch wako vizuri
Cameroon wameniudhi sana jana basi tu japo nilipenda spaini abakai ila tayari amejichimbia kaburi,England tutajua ikifika saa nne maana naye anamdomo sanaNaombea timu zifuatazo zisionje kabisa fainali na ikiwezekana hata nusu fainali:
1. Brazil (japo watabebwa)
2. Spain (wanajidai sana tena wana masifa mno)
3. Portugal
4. England (kama no.2 hapo juu)
5. Cameroon (hawawezi)
6. Ivory Coast (wataponzwa na wachezaji mashuhuri)
Dah nimechukia sana ila nimependa alivyopigwa
Mbeleko yenyewe itadunda maana kuna nchi ziko vizuri umesahau south africa 2010 alibebwa mpaka ikashindikanaNaombea Brazil watolewe hatua ya robo fainali kuelekea nusu fainali japo naona kuna dalili ya mbeleko la chuma limeshaandaliwa.
...not true brother waholanzi ni makinda yote isipokuwa van,babu na snaider ambao pia bado wananguvu na kasi,wengine wote hawajafikisha hata mechi 50 za timu ya taifa. Kwa spain karibia wote wanazaidi ya mechi 100 wakiongozwa casilas mwenye mechi 150. So spain wengi wazee na kurudi kwenye gemu itakuwa kazi sana kwao maana kipigo cha jana lazima kimewatibua na kuvuruga kambi yao,lawama na kunyoosheana vidole kutawagharimu sana na ndo safari imewadia kama ilivyokuwa kwa wafaransa...
masai dada! Chile 3-1 Australia.
Sema hapana kwa usingizi!
Ivory cost Vs japan 1:00
England vs Italy 4:00
Pole sana rafiki najua hauko vizuri leo ila ndo mpira usijallove SPAIN.............................! love soft football
go spain
Saa moja jioniivory cost ni saa 7usiku au saa moja usiku??
Unasemaaa? we unaona walimuokota wakati kipindi cha kwanza walibanwa vibaya combination ya roben,shenaida na van pasi ni sheeedarWadatch mech ya jana walimuokata tu muhispaniola,hawana kitu wale walikutana na timu ya vijana wenzao wanakula za kutosha.
Mbeleko yenyewe itadunda maana kuna nchi ziko vizuri umesahau south africa 2010 alibebwa mpaka ikashindikana
Spain badala ya kuchezesha vijana wanaangaika na kina xavi na alonso..
Watu wamekuja vizuri angalia mechi mbili tu ya sanches na kina roben wanaceza kitimu brazili ajipange mbeleko haitamsaidiaKwa hiyo hata wabebwe vipi bado mbeleko itatatuliwa tu?!
Spain is overrated
Kwa hiyo hata wabebwe vipi bado mbeleko itatatuliwa tu?!
Watu wamekuja vizuri angalia mechi mbili tu ya sanches na kina roben wanaceza kitimu brazili ajipange mbeleko haitamsaidia
Bado kuna wanaume wengine Italy,Ujeruman,Uruguay,Argentina na wenginee wamejipanga bila kusahau wa kwetu huku Ghana na Algeria ndo wanapewa nafasi angalau ya kufika mbal
ndio maana timu yangu uingereza
Unasemaaa? we unaona walimuokota wakati kipindi cha kwanza walibanwa vibaya combination ya roben,shenaida na van pasi ni sheeedar