Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aingie tu hata watoto Wenye mpira wa kudunda mtaani siku hizi Kama hajui kucheza hapangwi sio sababu mpira wake apangwe! mmeona beki Yule karuka mbili? Ndio matatizo ya mabeki wa africa.Duh Didier anahuzunika, si aingie tu
Duh Didier anahuzunika, si aingie tu
Ngoja nikalale tu..timu za africa tuna gundu
Ndio huyo.Pazi naona huyu beki#2 wa Ivory Coast ndo Arsenal wanayemtaka?
Hao kwenye timu za taifa huwa hawana mchango.Eboue hata HAJAITWA team hii lol!Kolo Toure naye hayumo kikosi cha kwanza the same as Drogba
Beki ya ivory coast mavi matupu
Cote De kashazibuliwa???
Kachezea kichapo 2-1England matokeo yakoje? Ndio naamka ! Honda kashafanya yake
Hivi hawa nao wana mgogoro wa posho?Nakuhakikishia Afrika team ya ukweli ni Algeria tu!Hawa wengine wehu tu~!!
Iran inamfunga Nigeria kesho
Bora ningelala upuuzi gani huu ?
Bora ningelala upuuzi gani huu ?
Kachezea kichapo 2-1
Bantu lady unaruhusu aje Rubaman tuition ya soka bado sheria za kona Kuwa offside zinampa tabu game Boring zengine bora mmoja afunge goli.
Bora ningelala upuuzi gani huu ?
kamojaCote De kashazibuliwa???
We umekuja na nuksi na huyo Honda wako. Kumtaja tu analeta kilio......Hondaaaaaaaaaaaa