World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

England matokeo yakoje? Ndio naamka ! Honda kashafanya yake
 
Duh Didier anahuzunika, si aingie tu
Aingie tu hata watoto Wenye mpira wa kudunda mtaani siku hizi Kama hajui kucheza hapangwi sio sababu mpira wake apangwe! mmeona beki Yule karuka mbili? Ndio matatizo ya mabeki wa africa.
 
Bantu lady unaruhusu aje Rubaman tuition ya soka bado sheria za kona Kuwa offside zinampa tabu game Boring zengine bora mmoja afunge goli.

Nimemkaribisha, umeombea mmoja afunge tumefungwa wenyewe sasa Pazi
 
Last edited by a moderator:
Kitoabu,,,,,,,,,,uzalendo utanishinda kama ndio hivi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom