Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
this time yule demu wake mtangazaji hajaja nini?
Sina hakika
Ila hata akiwepo hata muhoji tena maana kawadhalisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
this time yule demu wake mtangazaji hajaja nini?
Costa ni kubeba abiria kwenda kwenye ngoma Msanga, mpira achia Chile na Uholanzi.
Itie kwenye pakacha ukaitupe.Tores baba, Nakuomba unisaidie hii Aibu nitaiweka wapi? Umesikia eeh!!!
![]()
Wakajipange upya wavunje hii timu waichukue ile timu yao ya vijana.
Wamebanwa na mfumo timu zimejipanga.ile midfield ya Spain iliyokuwa inasifika duniani kote ipo wapi? tangia nianze kuangalia hii mechi dakika ya 52 naona kama vile Chile wana control midfield, sijui wenzangu mlioanza kuungalia tangu mwanzo mnaonaje?
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.
Nani kakosa goli tena?
Jamani wakirudisha spain naanza kuwa mshabiki wao rasmi maana .nyumba nzima mi ndo chile na washantimua kuangalia mana nliwaambia leo mfungwe au mdroo ushindi msahau
Portugal na England wana nafasi kubwa ya kusonga mbele mkuu!