World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Costa ni kubeba abiria kwenda kwenye ngoma Msanga, mpira achia Chile na Uholanzi.

Nadhani Costa hafit kwenye staili ya tiki-taka ya Spain/Barca.

Tiki-taka inacheza na false number 9 wakati Costa is a true number 9

As Xavi and Iniesta decline, so too tiki-taka.

Siku hizi ni fast-paced football based on counterattacks.

Pep Guardiola anataka kuwaharibia Wajerumani kwa kuwaanzishia the declining tiki-taka.

Death to tiki-taka.
 
Tores baba, Nakuomba unisaidie hii Aibu nitaiweka wapi? Umesikia eeh!!!

1403123388076_lc_galleryImage_Spain_manager_Vicente_del.JPG
Itie kwenye pakacha ukaitupe.
 
Jamani wakirudisha spain naanza kuwa mshabiki wao rasmi maana .nyumba nzima mi ndo chile na washantimua kuangalia mana nliwaambia leo mfungwe au mdroo ushindi msahau
 
ile midfield ya Spain iliyokuwa inasifika duniani kote ipo wapi? tangia nianze kuangalia hii mechi dakika ya 52 naona kama vile Chile wana control midfield, sijui wenzangu mlioanza kuungalia tangu mwanzo mnaonaje?
Wamebanwa na mfumo timu zimejipanga.
 
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.

Pole sana Active kama salio lipo kuna link ucheck. Hata hivyo muda umeenda, karibia game iishe.
 
Last edited by a moderator:
Jamani wakirudisha spain naanza kuwa mshabiki wao rasmi maana .nyumba nzima mi ndo chile na washantimua kuangalia mana nliwaambia leo mfungwe au mdroo ushindi msahau

Hahahaaah,,,,,pole hawasawazishi wala nini hapa.
 
eti wanasema "every generation has a life span" kwa spain.
 
Ninapo iona sura ya del bosque inanikumbusha Ferguson wakati anavyofungwa na Barcelona uefa teheee tehhe
 
Back
Top Bottom