World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Afu zomea zomea iliyo pale uwanjani ni kutokana na Spain kumlaghai Costa kwenda Spain
 
Cameroon wameharibu kwelikweli, sijui hawa waafrika wengine nao watatia aibu hivi....!!
 
Afu zomea zomea iliyo pale uwanjani ni kutokana na Spain kumlaghai Costa kwenda Spain

kati ya mambo ambayo Diego Costa atajuta ni kuichezea 5pain, angekuwa Brazil nadhani angekuwa ndio straika tegemeo pale.
 
Naunga mkono hoja na hata Fred is not the perfect match ya mashambulizi pale mbele
 
Ila fred apewe mda kidogo Cdhan kama jo anaweza fit..fred mara nying hua anafunga unpredictable goals tofaut na jo
 
kati ya mambo ambayo Diego Costa atajuta ni kuichezea 5pain, angekuwa Brazil nadhani angekuwa ndio straika tegemeo pale.

spain wanamatatizo pamoja nakua soka yao imeonekana kutofua dafu na mapungufu kadhaa,david villa kwao ndio striker anae endana na uchezaji wa timu yao ajabu kocha kamsahau kabisa!
 
Mbu wameisha mkuu?

Usingizi haukuwepo kabisa nimelala nawaza kuzima jenereta, nikaamka saa tisa nikakuta kameruni kauawa kuangalia updates uuuuuuuwi Spain analia, nikaona isiwe kesi, siangalii mipir ya saa nne
 
kati ya mambo ambayo Diego Costa atajuta ni kuichezea 5pain, angekuwa Brazil nadhani angekuwa ndio straika tegemeo pale.

Yaani huyu angejua bora asingechagua timu yoyote ile.
Hadi hapa alipo anajutia tu.
Juzi Portugal ilipofungwa Morinho alisema kuwa Pepe amefanya yote yale sababu sio Mreno bali ni Mbrazil
 
warudi tu nyumbani Afrika kula pounded yam na egusi..kwa mikono ...thats what we know better....not soccer!...Cameroon wameniudhi sana leo....

nilijisemea mimi mambo ya kulala saa tisa usiku na kipigo juu nilishaacha........sikupoteza muda kuangalia game ya cameroon nilijua tu watapigwa!!
 
Fred ni mzuri. Sema anakabwa sana.

Paulinho awe replaced na Ramirez au fernandinho.

Willian aanze mapema na si hulk.
 
The South Americans qualified for the next stage alongside the Netherlands while Australia's tournament is also over
 
7pain siyo mchezo, kwenda kule blata kwenda kule, unaongeza dk 6 unafikiri watauweza mfupa wa chile? Hahaaa the esp era are over now.
 
Kumbe walipigwa 4,bora nililala kwa kweli.

Hivi yule kidondofilo etoo alicheza? Tupa kule kameruni kwanza jina lao linafanana na waziri mkuu wa uk aliyeleta mambo ya haki sawa kwa wanawake na wanaume kijinsia.
 
Back
Top Bottom