Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbu wameisha mkuu?Hivi walichukuaje lile kombe?
Afu zomea zomea iliyo pale uwanjani ni kutokana na Spain kumlaghai Costa kwenda Spain
kati ya mambo ambayo Diego Costa atajuta ni kuichezea 5pain, angekuwa Brazil nadhani angekuwa ndio straika tegemeo pale.
Mbu wameisha mkuu?
kati ya mambo ambayo Diego Costa atajuta ni kuichezea 5pain, angekuwa Brazil nadhani angekuwa ndio straika tegemeo pale.
warudi tu nyumbani Afrika kula pounded yam na egusi..kwa mikono ...thats what we know better....not soccer!...Cameroon wameniudhi sana leo....
Cameroon wameharibu kwelikweli, sijui hawa waafrika wengine nao watatia aibu hivi....!!
Kumbe walipigwa 4,bora nililala kwa kweli.
mm nabishaa aisee..jana uholanzi kacheza mpira wa kawaida sana na australia..akikutana na wanaojua vzur hawez kutoka kaka