World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Italy and England OUT!Media zinazipamba sana ligi za Ulaya!!Suarez anawapiga hawa Italy kama watoto

italy uwahesabu out pale tu ambapo tayari wapo out. Siku wakiingia uwanjani wakiwa hawana vichaa utashangaa. Chochote kinaweza kutokea mechi ya mwisho. Sema hawa jamaa sidhani kama wapo sawasawa vichwani.
 
Subirini Wazungu watalalamikia Climate ya South America kuwa ndo chanzo cha wao kutofanya vizuri katika kombe la dunia hili. Na Baada ya 2018 World Cup itakuwa haitoki West Europe labda itakuja Marekani tu. QATAR watanyang'anywa uhost wao.Bookmark it.
 
Wazungu wana hila zao tu. Watasahau kuwa walichukua kombe south africa ambapo hali ya hewa ni joto kias ukilinganisha na kwao.
 
Last edited by a moderator:
[h=3]Line-ups[/h]Switzerland starting XI: Benaglio, Lichtsteiner, Von Bergen, Inler (c), Seferovic, Xhaka, Behrami, Rodriguez, Mehmedi, Djourou, Shaqiri.

France starting XI: Lloris (c), Debuchy, Evra, Varane, Sakho, Cabaye, Valbuena, Giroud, Benzema, Matuidi, Sissoko.
 
Mkuu acha tu..leo utafkiri tulikuwa pungufu uwanjani..tulikuwa slow sana halfu zaidi ya PIRLO Pale kati palikosa ubunifu kabisa...
Beki yetu ilicheza Ovyo nafkiri tulitakiwa tupigwe zaidi ya 1...
Uruguay Sidhani kama watatufunga

Suarez atawaibisha balaaa!
 
Mkuu acha tu..leo utafkiri tulikuwa pungufu uwanjani..tulikuwa slow sana halfu zaidi ya PIRLO Pale kati palikosa ubunifu kabisa...
Beki yetu ilicheza Ovyo nafkiri tulitakiwa tupigwe zaidi ya 1...
Uruguay Sidhani kama watatufunga

mkuu pachanya uruguay wana spirity game ya hali ya juu. Kama tutacheza kama leo watatutandika. Mie kwa kweli baloteli si pendi aanze, ni mvivu kwa kweli timu inakuwa kama inacheza pungufu bhana! arghh
 
Last edited by a moderator:
mkuu pachanya uruguay wana spirity game ya hali ya juu. Kama tutacheza kama leo watatutandika. Mie kwa kweli baloteli si pendi aanze, ni mvivu kwa kweli timu inakuwa kama inacheza pungufu bhana! arghh

Balloteli ametuangusha Sana leo..nilifikiri Prandelli angemtoa aingie Dogo Immobile manake alikuwa anacheza Ki-father sana..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom