andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,021
Italy and England OUT!Media zinazipamba sana ligi za Ulaya!!Suarez anawapiga hawa Italy kama watoto
italy uwahesabu out pale tu ambapo tayari wapo out. Siku wakiingia uwanjani wakiwa hawana vichaa utashangaa. Chochote kinaweza kutokea mechi ya mwisho. Sema hawa jamaa sidhani kama wapo sawasawa vichwani.