DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,533
- 2,709
Hawa Senderous na Djorou nakumbuka Drogba alivyokuwa anawanyanyasa
Drogba akicheza na hao mabeki lazima kila msimu atakuwa mfungaji bora
Nakumbuka alivyokuwa anawafanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Senderous na Djorou nakumbuka Drogba alivyokuwa anawanyanyasa
Pole sana,ila jipe moyo mpira dk 95Nipo mama na nimenyoosha mikono juu
Bila wewe usiku huu utakua mrefu
Naona wameanza kupunguza magoliHeee mpira uishe sasa, maana Swiss hali yao taabani. Mapacha wa Spain hawa, sipati picha waliojichora usoni na mwili mzima white cross wa Swiss wanaanzaje kutoka nje na mashabiki wa France.
Naona wameanza kupunguza magoli
Pole sana,ila jipe moyo mpira dk 95
Wanapata kagoal ka 2