World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Heee mpira uishe sasa, maana Swiss hali yao taabani. Mapacha wa Spain hawa, sipati picha waliojichora usoni na mwili mzima white cross wa Swiss wanaanzaje kutoka nje na mashabiki wa France.
 
Naona wameanza kupunguza magoli
 
Waswiss wanakumbuka shuka, kumekucha jitihada hizi wangezifanya toka mwanzo muda huu wangekuwa wametoshana kwa magoli.
 
Back
Top Bottom