Yaani hivi vitimu havieleweki aiseee.jana pamoja na madambwidambwi ya kufa mtu ya pirlo wamekalishwa
Yaani huwezi amini kama hawa iran ndo wanavyo kaza hivi kwa arg....wanakosakosa hapa iran duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hivi vitimu havieleweki aiseee.jana pamoja na madambwidambwi ya kufa mtu ya pirlo wamekalishwa
Itabidi maajabu ya Dunia yaongezeke...
Inabidi tuwaombe msamaha Nigeria kwa kuwalaumu game na Iran
Antoni na Enner Valancia wataipelaka Ecuador round ya 2!Kadi nyekundu ya Wilson Palacios itawa cost sana Hondorus maana yule ndiyo beki wao tegemezi
Nigeria hakuna matumaini kabisa ya kumfunga Argentina labda wabadilike wasicheze kama walivyocheza siku ile na Iran.Vipi,leo nipo shambani,nategemea updates humu humu.Vipi Argentina?hata Nigeria itamfunga?
equado hana mpira wa kumfunga france.
hondurus hana mpira wa kumfunga swiss.
2nd round wanakwenda france na swiss.