World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaani hivi vitimu havieleweki aiseee.jana pamoja na madambwidambwi ya kufa mtu ya pirlo wamekalishwa

Yaani huwezi amini kama hawa iran ndo wanavyo kaza hivi kwa arg....wanakosakosa hapa iran duh
 
Vipi,leo nipo shambani,nategemea updates humu humu.Vipi Argentina?hata Nigeria itamfunga?
 
Antoni na Enner Valancia wataipelaka Ecuador round ya 2!Kadi nyekundu ya Wilson Palacios itawa cost sana Hondorus maana yule ndiyo beki wao tegemezi

equado hana mpira wa kumfunga france.
hondurus hana mpira wa kumfunga swiss.
2nd round wanakwenda france na swiss.
 
Vipi,leo nipo shambani,nategemea updates humu humu.Vipi Argentina?hata Nigeria itamfunga?
Nigeria hakuna matumaini kabisa ya kumfunga Argentina labda wabadilike wasicheze kama walivyocheza siku ile na Iran.
 
Back
Top Bottom