Huu mpira wa leo full pressure
yaani we acha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mpira wa leo full pressure
Kosa la kumpiga mtu kichwa ni tofauti na kung'ata mtu,kumbuka Zizou alipewa red card hiyo ilikuwa ni adhabu ukiacha pia alifungiwa.Suarez inabidi asaidiwe kuna matatizo anayo.But FIFA haijawa fair kumuadhibu kwenye club level,Liverpool wameadhibiwa nafikiri adhabu ingekuwa kwenye timu ya taifa tu
wakishinda ntafurahi sana ila haya mashambulizi balaa
Hapana dada tuvumilie tu!Turudi Accra tuanze wekeza kwenye academies ili akitoka hapo kwenda Ulaya kijana awe kaiva sio kama sasa wanategemea hawa vipaji vya Mungu
Nimewahi kusema hili swalaGhana wanaonesha maonyesho ya nywele
Salaam wakuu! Fainal mech group stage, Ghana vs Portugal. Uzalendo tafadhali.
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamghana]#teamghana [/URL]
Ghana wanaleta upuuzi hapa nendeni kama mlivyoenda na Hitler
Team portugal.
Sishabikii any african team kwenye hii wc.
Anae angalia mechi ya upande mwingine alete updates
Mpira ni wa nguvu sana huu, tuombe timu yetu ishinde.