World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Urusi nje! Nimefurahi sana! England, Italy, Spain, Portugal...wote waliwahi kuwa mabingwa lakini safari hii walie tu!
 
Nasikiliza hii gemu kupitia TBC Taifa....Kuna mtangazaji anatangaza yani anaiga Sauti ya Salim Kikeke......Ameniboa sana....Yani mpaka inakera...

Watangazaji tuwe wabunifu....Yani unaiga mpaka sauti...Fool kabisa...



Unashangaa ubisho wa kibongo? Sasa subiri kifo kuu ianze uone jinsi wachawi (wachezaji wetu) watakavyokuwa wanaiga wachezaji waliokuwa kwenye World Cup. Yaani truly nonsense!
 
Back
Top Bottom