Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warusi wasije pata goli dk ya mwisho kama Greece na Ivory Cost
Mkenya Origi anaingia kwa Belgium... Belgium wanafaidika kwa damu za kiafrika kama France
Algeria wanatakiwa watulie waache wasi wasi. Haya angalau tunao wawili 16 bora 1Warusi wamekomaa hapa sio mchezo. Wanawapiga Algeria muda sio mrefu
Mbona hapa kwenye TV inasema ni Belgium vs South Korea, hiyo Kenya imekujaje? Yaani hii ni sawa na kumuita Obama Mkenya wakati hana issue yeyote na Kenya.
Game over. Asante Algeria
Washabiki wazalendo kweli full madua na tasbih juu
lolote linaweza tokea maaana katika timu za afrika aljeria haikupewa nafasi kabisa kusonga mbele . kwasasa wanajiamini kuwa ndiyo muda na wao kuandika historiawajiandae na ujerumani sasa
Nasikiliza hii gemu kupitia TBC Taifa....Kuna mtangazaji anatangaza yani anaiga Sauti ya Salim Kikeke......Ameniboa sana....Yani mpaka inakera...
Watangazaji tuwe wabunifu....Yani unaiga mpaka sauti...Fool kabisa...
Timu inatia moyo coz wanajituma sana...!
Je, Algeria atauweza mziki wa Germany?