World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Naona kama miujiza hivi Italy na England walifungwaje na hawa mbweha wa uruguay?

Alikuwemo vampire kwa hiyo alikua akipanua mdomo wanampisha ila ndo hivyo mchezaji mmoja wa Italy alijisahau kumpisha mjomba akamnyonya bega kidogo.
 
tumchukie tu suarez ila jamaa ni sucrifier hatare kwenye ushindi wa timu..

Kama mechi hii mtu unaliona kabisa pengo lake,Cavan umri umemtupa mkono krosi zote zinazopigwa Suarez angekuwepo matokeo yangeshabadilika.
 
Naona Colombia wametoa striker wameingiza holding midfielder na kuwa defensive zaidi,hivyo Uruguay sasa inapumua.nina wasiwasi huu ni mtego wa counter attack.Colombia wakipata counter hapa,mpira kushney!
 
Back
Top Bottom