palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
yeah ni commentator nadhani CFI kwa kifaransaLeo huyu Specialist in failure (By Morinho)
Hupo kama commentator?
Natumai atatuma maombi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah ni commentator nadhani CFI kwa kifaransaLeo huyu Specialist in failure (By Morinho)
Hupo kama commentator?
Natumai atatuma maombi
Naona kama miujiza hivi Italy na England walifungwaje na hawa mbweha wa uruguay?
Duh,hawa Colombia hadi golikipa ni mzuri
Wanajifunzaga basi...!
Hebu jamani fungeni hata lakutoa machozi mie nikalale
Hii inamaanisha wao ni vibonde wa vibonde,hahaha kama walifungwa na kibonde mwenzao UruguayiNaona kama miujiza hivi Italy na England walifungwaje na hawa mbweha wa uruguay?
Naona kama miujiza hivi Italy na England walifungwaje na hawa mbweha wa uruguay?
Labda hairstyles!
Naona kama miujiza hivi Italy na England walifungwaje na hawa mbweha wa uruguay?
Colombia wameibana Uruguay pabaya.hawataki Uruguay wakae na mpira,wanakaba watatu watatu ilimradi wawanyime Uruguay possession.
Watamlaumu Manjino sana
Mkuu umesahau mara hii?Angekuwepo Suarez mechi hii Uruguay angeshinda!
Manjino sijui ni bange za Uruguay....?unajua tabia mtu mzima kung'ata haijakaa sawasawa
tumchukie tu suarez ila jamaa ni sucrifier hatare kwenye ushindi wa timu..
italy walikuwa wazuri mpaka alipong'atwa chiellini ndio wakapotea..Hii inamaanisha wao ni vibonde wa vibonde,hahaha kama walifungwa na kibonde mwenzao Uruguayi
tumchukie tu suarez ila jamaa ni sucrifier hatare kwenye ushindi wa timu..