World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

LOL Wapenzi wa Man utd angalieni next season defence yenu inavyopelekwa puta na Mexico, DonDonald, Belo, Nzi, Prondo


Tatizo la Holland hawana watu wanaotawala hapo kati, ila kuna dalili watarudisha hili goli soon.
 
_75924324_3cc8873c-483e-45a1-89f9-9673b9a6f166.jpg


mexico city goli lilopoingia

Dah nchi za wenzetu wanapenda mpira hadi raha, Tanzania hata kama Taifa Stars wanhekuwa hapo usingeona watu wengi hivyo
sa hivi umeshangamka si unaona wanavyotafuta magoli

Yeah sasa Mexico amezidiwa naona anataka kupaki treni
 
Huyu refa awape Netherlands hata goli moja maana wamejitahidi sana hadi hapa walipo
 
ImageUploadedByJamiiForums1404062831.300687.jpgYule kipa aliyewazuia kina Neymar kufunga hata goli moja, ndiyo yuko katikati ya milingoti ya Mexico leo!!
 
Hawa Mexico sasa wataka haribu mpira wanacheza vibaya sana
 
Tatizo la Holland hawana watu wanaotawala hapo kati, ila kuna dalili watarudisha hili goli soon.

Mzee Sneijder si yupo kati na baadhi ya vijana wanaotakiwa Old Trafford? Kwangu naona linalowaumiza ni joto hawa Mexico wanavyokimbia ni kama vile ndo mpira umeanza.
 
Back
Top Bottom