palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Kha kulikoni umtoe mchezaji aliyefunga goli?
huyo aliyeingia ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha kulikoni umtoe mchezaji aliyefunga goli?
Mexico ndio timu iliyoruhusu magoli machache mpaka sasa. Wameruhusu goli 1 tu.
LOL Wapenzi wa Man utd angalieni next season defence yenu inavyopelekwa puta na Mexico, DonDonald, Belo, Nzi, Prondo
![]()
mexico city goli lilopoingia
sa hivi umeshangamka si unaona wanavyotafuta magoli
Sasa ndio mpira unachezwa ila kukumbuka kusoma ukiwa chumba cha mtihani ni mbaya sana
Ngoja kwanza mpira uishe tuone matokeo yaakuwaje halafu utamjua.
Mexico wanamtoa huyu dogo wanadhani ndio mechi imeisha au
huyo golikipa kwao wanamwita "Mexican Jesus"
Tatizo la Holland hawana watu wanaotawala hapo kati, ila kuna dalili watarudisha hili goli soon.