palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Tena wepesi kabisaa,Nigeria nguvu kidogo wanakaa hawa...
weupe kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wepesi kabisaa,Nigeria nguvu kidogo wanakaa hawa...
Namba 8 wa Frace kwa lugha ya JLW anaitwa kibamia.
Relax...France anakalishwa leo.
lugha gani tena hiyo wakunyumba?
nimerudi presha ilikua juu
Jamani eeeh "Tanesco wamenikatia umeme " I mean Siwezi kuangalia mechi hii #teamAfrica tunachezaje kuna matumaini ya ushindi leo ?
wako wanne hapo, ni yupi unamsemea?
Evra, Varane, Pogba au Matuidi..!!!
nimerudi presha ilikua juu
Ahaaa wakuu nimechewa kidogo hebu nipeni updates kabla sijawasha tv hapa
bila bila HT