World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani eeeh "Tanesco wamenikatia umeme " I mean Siwezi kuangalia mechi hii #teamAfrica tunachezaje kuna matumaini ya ushindi leo ?
 
Hebu warudi wafungane,mimi sitaki wafike kwenye matuta.Kwenye matuta najua Enyiema atawaokoa Nigeria na kuwavusha robo final
 
Ahaaa wakuu nimechewa kidogo hebu nipeni updates kabla sijawasha tv hapa
 
ushind kw nigeria unawezekan endapo tactical dicspline na kuweza kuakomodate speed eneo la kati kutawafanya frenc change
 
Back
Top Bottom