World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

Nani kutwaa ndoo 2026?


  • Total voters
    36
  • Poll closed .
Mimi mataifa yote nayachukia ila bora wachukue Spain kuliko Andunje wanamsifia sana mpaka inaboa utafikiri anacheza peke yake kwenye timu
 
Sisi Mashabiki wa Real Madrid tupo na taifa letu Spain. Na Kombe linatua Madrid kwa mfalme na sherehe na gwaride zitafanyika Madrid
 
Mechi ya leo ni MKOLONI VS KOLONI lake, wote wanaongea lugha moja iliyotoka kwa mkoloni. Tusubirini tu mwisho wa mechi
 
Halafu Argentina na spain kama waarabu
Wale ni Latin, Spain aliwahi kuwa mkoloni wa Argentina ameitawala na hata lugha wanangea kihispaniola. Asilimia kubwa ya watu wa Argentina origin yao ina mizizi ya uhispaniola. Lile bara wahindi wekundu tu ndiyo kwao kiasili, wengine ni zao la ukoloni
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…