kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kwa yanayoendelea huko Qatar mmejionea jinsi uislam ulivyo dini ya kweli na ya haki
Sahivi huna haja ya kuelewa kwamba wale wale wanaopigania ushoga uenee ndo hao hao walipigania dini fulani ienee miaka 100 iliyopita rejea ishu ya Berlin conference.
Wazungu walivyokuja na ajenda ya kueneza dini yao miaka 100 iliyopita kupitia makoloni ndo nguvu hii hii wanayoitumia kueneza ushoga na usagaji duniani
Sasa hapo ni wewe uchague ufate kipi dini ya kweli au projects za watu?Ukitaka uamini nililokwambia someni machapisho ya hao hao waloleta dini fulani halafu ulinganishe na sasa utagundua kama walivyoweza kutupiga kwenye hiyo project ya kueneza dini ndo hivyo hivyo kwenye suala la ushoga
Kwa mantiki hiyo ni kichaa tu anayeweza kupinga kwamba uislam sio dini ya haki, waislam likija suala la maadili na dini huwa hawana utani kabisa lakini hao wa huko Ulaya sasa ni masikitiko kwakweli
Usiposhtuka mapema itakula kwako, wala sijaleta hii mada kwa nia mbaya lah lasha mimi naomba kila mtu afanye utafiti wake agundue ni dini ipi sahihi tu bila hivyo utakuja kulia na kusaga meno siku moja lazima ukweli usemwe tu