Hakuna haja ya kufundishwa misimamo ya kiimani na waislamu sababu biblia ninayoiamini inajitosheleza.Judeism na ukristo ulikuwepo miaka mingi kabla ya uislamu.Uislamu ulikopi baadhi ya vifungu vya biblia nakupotosha.Mfano wanasema mtoto wa Ibrahim aliyetaka kutolewa sadaka ni Ishmael wakati biblia inamtaja mtoto aliyetaka kutolewa sadaka ni Isaka(Hii inapatikana kitabu cha mwanzo)
Kuhusu suala la ushoga biblia imeeleza waziwazi kabisa",
Leviticus 18:22
[22]Thou shalt not lie with mankind, as with womankind: it is abomination.
Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo."
Agano jipya imeandikwa ,watu ambao hawatarithi ufalme wa Mungu ni pamoja na wafiraji na walawiti",
1 Corinthians 6:9-10
[9]Know ye not that the unrighteous shall not inherit the kingdom of God? Be not deceived: neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor effeminate, nor abusers of themselves with mankind,
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
[10]Nor thieves, nor covetous, nor drunkards, nor revilers, nor extortioners, shall inherit the kingdom of God.
wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.".
Mytake:
Mungu hawezi kukulazimisha ufuate njia zake kwa lazima kipindi hiki cha agano jipya.
Mwanadamu kwa utashi wake anatakiwa amfuate Mungu ili arithi uzima wa milele au asifuate sheria na amri za Mungu ili apotee kwenda jehanamu.